Picha: Mawe kwenye figo.

Picha: Mawe kwenye figo.

Umeelezea vizuri Best na Wataalam kunywa maji ya moto asubuhi baada ya kuamka kabla ya kutia chochote kinywani husaidia sana katika kusafisha figo na wengine siku hizi hawanywi kabisa maji ya baridi bali ni ya moto tu. Nina rafiki yangu aliwahi kuniambia Wachina wengi maji yao ya kunywa ni ya moto tu kwani wanaamini it is healthy to drink hot water as compared to cold water.

Thanks for sharing Best.

Mkojo unakuwa uchafu buliozalishwa mwilini baada ya metabolism process, uchafu huu unajumuisha chloride, sodium, potassium, creatine na ions nyingine Pia organic na inorganic matters. Hivi vyote vinahitaji maji ili viweze kuchujwa kwenye figo kutoka kwenye damu ili vitoke kama mkojo.

Usipokunywa maji ya kutosha uchafu huu hufanya vijiwe kama chumvi ya mawe kwenye figo na huleta maumivu makali sana.
kisu cha ngariba
 
Maji ya uvuguvugu yanaingia kwenye system haraka, maji ya baridi unabidi yawe warmed up kuwa sawa na body temperature
 
Vipi pia tukinywa bia zaidi?
Konyagi na pombe kali huvilainisha vyote,wewe kunywa pombe kali za kutosha kwa wiki itasaidia hata maji uknywa nusu lita kwa wiki au lita kwa mwezi poa tu.
 
Asante kwa taarifa,inatisha,nimeshakunywa lita1 fasta kwa kuanzia na siku ya leo..
 
Mkuu usiwachuuze wenzio humu.

Konyagi na pombe kali huvilainisha vyote,wewe kunywa pombe kali za kutosha kwa wiki itasaidia hata maji uknywa nusu lita kwa wiki au lita kwa mwezi poa tu.
 
Konyagi na pombe kali huvilainisha vyote,wewe kunywa pombe kali za kutosha kwa wiki itasaidia hata maji uknywa nusu lita kwa wiki au lita kwa mwezi poa tu.
Mkuu huu ushauri wako ni kiboko lakini mimi ninaomba unipite tu
 
Mkojo unakuwa uchafu buliozalishwa mwilini baada ya metabolism process, uchafu huu unajumuisha chloride, sodium, potassium, creatine na ions nyingine Pia organic na inorganic matters. Hivi vyote vinahitaji maji ili viweze kuchujwa kwenye figo kutoka kwenye damu ili vitoke kama mkojo.

Usipokunywa maji ya kutosha uchafu huu hufanya vijiwe kama chumvi ya mawe kwenye figo na huleta maumivu makali sana.
kisu cha ngariba
Buliozaloshwa=uliozalishwa
 
View attachment 711406
Unashauriwa kunywa maji zaidi lita 2 hadi 5 kila siku ili kuepuka mawe kutengenezeka kwenye figo.

Maji ndio husafisha seli na kuondoa sumu na kemikali zinazojitengeneza mwilini kuwa mawe.

Mawe haya hutengenezeka kirahisi wasipokunywa maji ya kutosha

Chukua hatua, Okoa fedha na Maisha.
Je bia sio maji? suppose ukipiga kama 10 hapo si umeshapiga maji ya kutosha kabisa
 
Mkuu huu ushauri wako ni kiboko lakini mimi ninaomba unipite tu
sawa nshakupita
5a6ec29817af893bf73e00178ad1e9c8.jpg
 
Kuna wake waaokunywa litre moja ya maji kite cha kwanza asubuhi
Mimi ninapenda kutembea na chupa na kunywa kidogo kidogo mchana kutwa
 
View attachment 711406
Unashauriwa kunywa maji zaidi lita 2 hadi 5 kila siku ili kuepuka mawe kutengenezeka kwenye figo.

Maji ndio husafisha seli na kuondoa sumu na kemikali zinazojitengeneza mwilini kuwa mawe.

Mawe haya hutengenezeka kirahisi wasipokunywa maji ya kutosha

Chukua hatua, Okoa fedha na Maisha.
Acha kutisha watu hakuna kitu kama hicho
 
Mkojo unakuwa uchafu uliozalishwa mwilini baada ya metabolism process, uchafu huu unajumuisha chloride, sodium, potassium, creatine na ions nyingine Pia organic na inorganic matters. Hivi vyote vinahitaji maji ili viweze kuchujwa kwenye figo kutoka kwenye damu ili vitoke kama mkojo.

Usipokunywa maji ya kutosha uchafu huu hufanya vijiwe kama chumvi ya mawe kwenye figo na huleta maumivu makali sana.
kisu cha ngariba
Uko vizur mkuu,hongera!!! dalili zake ni zipi na vipi kuhusu matibabu yake?
 
Asante kwa taarifa
Hayo mawe kama saphire nut za kilosa aise

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom