Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

Joined
Sep 10, 2013
Posts
335
Reaction score
478
Wakati wenzetu wakijichana na kustarehe,sisi tuliibadilisha pasaka kuwa siku ya kuwatetea wanyonge wa taifa hili kwa kuchapa neno jimbo la Mbogwe(OPERATION TIGI TIGI) with no apology



 

Attachments

  • 1428289920607.jpg
    80.1 KB · Views: 7,715
  • 1428289975462.jpg
    88.7 KB · Views: 7,248
  • 1428290075602.jpg
    87.5 KB · Views: 3,715
kwako mawazo Mungu akulinde na kuzidi kukutia nguvu kwa kazi nzuri unayoifanya ya kuleta ukombozi wa mara ya mbili kwa nchi yetu iliyopotea vizazi vitakukumbuka kuwa ni kati ya watu waliosimama na kulitetea dhidi ya mikono ya mafisadi na manyangau walioitia nchi umaskini wa kutisha. Asante sana kaka
 
Wakati wenzetu wakijichana na kustarehe,sisi tuliibadilisha pasaka kuwa siku ya kuwatetea wanyonge wa taifa hili kwa kuchapa neno jimbo la Mbogwe(OPERATION TIGI TIGI) with no apology
Asante sana Kamanda ndio maana tunasema chadema nimpango wa Mungu. Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu
 

Amina politiki
 
Ww huwez ona mpk aje mwenye macho yako
 
Mawazo hotuba zako nazikubali sana ila kuna kitu kimoja unakisahau mhimu sana kwa dunia ya sasa; WEKA HOTUBA ZAKO YOUTUBE.
 
Pongezi kwako kamanda Mawazo hizo ndizo harakati za ukombozi wa kweli.
 
Hapa MUSOMA tunawangojea kwa hamu xaaaana kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…