Picha: Matukio mbali mbali katika - kikao cha NEC

Picha: Matukio mbali mbali katika - kikao cha NEC

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
2.jpg
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akisalimiana na MNEC Wilaya ya Monduli, Mh. Edward Lowassa jioni ya leo katika ukumbi wa NEC-Dodoma.

<tbody>
</tbody>

4.jpg
Waziri Mkuu mstaafu Mh. David Cleopa Msuya akibadilishana mawazo na Mh. Abrahaman Kinana leo kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC.

<tbody>
</tbody>

5.jpg
Mjumbe wa NEC akipitia gazeti la Mzalendo toleo maalum linalozungumzia mkutano mkuu wa CCM .

<tbody>
</tbody>

8.jpg
Mh.Muhammed Seif Khatib na Mh. Vuai Ali Vuai ,Naibu Katibu Mkuu Zanzibar wakipitia gazeti la Mzalendo toleo maalum kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa nane wa CCM

<tbody>
</tbody>

9.jpg
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma leo, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama.

<tbody>
</tbody>

10.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma leo.

<tbody>
</tbody>




11.jpg
Nape Nnauye ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akipiga gitaa la rhythm na kuimba wakati wa ufunguzi wa kikao cha Kamati Kuu na NEC leo Dodoma.

<tbody>
</tbody>

13.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Chipukizi ,tayari kufungua kikao cha Kamati Kuu na NEC leo Dodoma.

<tbody>
</tbody>

14.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivalishwa skafu na chipukizi alipowasili Makao Makuu ya Chama leo Dodoma.

<tbody>
</tbody>

17.jpg
Pandu Ameir Kificho spika wa Baraza la Wawakilishi akijadiliana jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano,Anne Makinda, kushoto ni Kapteni John Chiligati.

<tbody>
</tbody>

20.jpg
Rais wa Jamhuri wa Muungano na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kikao cha kamati kuu

<tbody>
</tbody>
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    41.5 KB · Views: 102
  • 7.jpg
    7.jpg
    35.2 KB · Views: 98
  • 8.jpg
    8.jpg
    55.6 KB · Views: 107
  • 9.jpg
    9.jpg
    60.3 KB · Views: 95
  • 10.jpg
    10.jpg
    32.7 KB · Views: 93
  • 11.jpg
    11.jpg
    45 KB · Views: 88
  • 12.jpg
    12.jpg
    46.5 KB · Views: 88
  • 9.jpg
    9.jpg
    49.5 KB · Views: 98
  • 14.jpg
    14.jpg
    29.3 KB · Views: 395
  • 13.jpg
    13.jpg
    35.9 KB · Views: 82
Mbona rais mstafu wa zanzibar aman karume havai sare za ccm
 
Mbona rais mstafu wa zanzibar aman karume havai sare za ccm

Pengine aliyepewa tenda kasepa na hela, au pengine ni mmojawapo ya wana uamsho sasa kuendelea vaa CCM wanaweza dhani anaunga mkono muungano.
 
afu ni kweli,hiki chama wanajimanua kwa kodi zetu uuuuwww!!

Ni zaidi ya hatari wanavyojimwayamwaya kwa kodi zetu.
Hapo kuanzia rais, makamu, rais wa Zenjbari, mawaziri, maspika, wakuu wa mikoa na wilaya; wote wanatembelea magari ya dola! Madereva wao wanalipwa per diem kutoka hazina, kama ilivyo kwa mabosi zao!!
 
Cdm wameonyesha njia ,kiongozi wao wa kambi rasmi bungeni kakataa gari la kifisadi, alilopewa na serekali , anatumia lake,hataki kufuja mali za walipa kodi,naskia na ruzuku wameomba kuanzia januari wasipewe,wachagga hawataki pesa!!!! Na wakiingia ikulu benzi zote wanauza ,wamesema watanunua land rover 109.
 
Back
Top Bottom