Umesema unakerwa sana? unakerwa na watoto yatima au kitendo cha mbunge kula nao na kutoa msaada? Nukufahamuvyo wewe pale mtaani kwenu kuna yatima kibao, hata kule kijijini kwenu wapo,tena wengine ni watoto wa ndugu wa ndugu zako, wewe umewasaidiaje? au mimi ndi sijaelewa hapa, hana nia ya dhati ya kufanya nini?