Picha: Mama Regina Lowassa atikisa Mbeya Mjini

Picha: Mama Regina Lowassa atikisa Mbeya Mjini

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Mama Regina Lowassa leo amefanya mkutuno wa ndani na kina mama wa Mbeya mjini, ambao wameonesha utayari wao wa kuyapokea mabadiliko kwa kujitokeza kwa wingi.

Vile vile wakina mama hao wamemuhakiiishia Mama Regina hawatakubali kudanganyanyika kwa chochote kile.

Mama Regina Lowassa ametumia nafasi hiyo kumuombea kura Lowassa, mbunge wa jimbo hilo Joseph Mbilinyi na madiwani wa Ukawa. Mama Regina kawataka wakina mama hao na ndugu zao oktoba 25 wasifanye makosa....
 

Attachments

  • 1445106876779.jpg
    1445106876779.jpg
    63.3 KB · Views: 6,235
  • 1445106895128.jpg
    1445106895128.jpg
    87.9 KB · Views: 5,895
  • 1445106914088.jpg
    1445106914088.jpg
    41.7 KB · Views: 2,646
  • 1445106934647.jpg
    1445106934647.jpg
    109.4 KB · Views: 5,747
Eeeehh..!!!

Mama yetu anapiga kazi sanaa..kama mgombea mwenza vile..!! Huyu ni mama haswaaa...!!!
👏👏✌✌✌
 

UKWELI UKAWA VILAZA MNASHANGILIA HATA HAMJIELEWI,KWA TAARIFA YENU HUYO KAKA ALIEVAA MIWANI NYUMA YA MAMA LOWASA,NI MKWE WA LOWASA KAOA BINTI YA LOWASA AITWAE ADDA,nAONA FAMILIA IMEDHAMILIA KUITEKA IKULU,ASANTE MUNGU UMETUPA MAGUFULI KAMA RAISI
 
Mzee ES,

Hilo swali la Mkandara halikuhitaji jibu refu.

JKN hakuwahi kuchaguliwa kuwa mbunge. Mara zote alikuwa akijipitisha mwenyewe, watu walikuwa wanalazimishwa kumchagua kwenye vyeo alivyokuwa anapata.

Kumbuka kujichagua au kutojichagua havikuwa na uhusiano na utendaji wake wa kazi.

FD

So what?....
 
Back
Top Bottom