Picha: Mama R. Lowassa akiwa Songea Mjini Leo

Picha: Mama R. Lowassa akiwa Songea Mjini Leo

Huyu mr chin,si ni yule babu asie kuwa na breki mdomoni,anasifika kuporomosha matusi mbele ya watoto banaa! Huyu chin Nina mashaka nae,tusi,matusi,watu wazimaa hawa.

No sio babu bali kijana tena mbichi kabisa. Aliwahi kuuza jimbo somewhere 2010 akiwa chadema sahv nasikia yeye pamoja na dada yetu mpz wa madevu ni wafuta viatu pale Lumumba fc
 
Wakina babu Seya wanaozea jela kwasababu ya ukware wa watawala; hatutaki kuwa na watawala ambao wanachanganya ufuska wao na mambo ya nchi hivyo kama kiongozi umeshindwa kutawala nyumba yako utawezaje kutawala nchi nzima?
 
Back
Top Bottom