Picha: Mama R. Lowassa akiwa Songea Mjini Leo

Picha: Mama R. Lowassa akiwa Songea Mjini Leo

Mgombea Wa Majirani ZETU, Kumbe MSELA Bhana!! Ndio Maana Mrs Haonekani!! ALIONEKANA Mara 2 Tu, Siku Ya KUZINDUA Kampeni Dar Na Kuthibitika Ni MCHONGO Tu, Coz Hata Ktk. Utambulisho Wake Alimsahau!! Hadi Akaambiwa Hoya Mbona Haumtambulishi Mwenza!!?? Na Pili KIJIJNI KWAKE!! Tena Kwa Kuombwa Na Mama Mwenye HESHIMA Kubwa Nchini!! BAADA Ya Hapo, MAMA Aendelea Na Maisha Yake Ya Zamani!! Tehe! Tehe! Tehe!! Vijana Hongereni Kwa Kulishistukia Hilo!!
 
.. ngoja akina Mr. Chin wakiamka kesho utukanwe kisawasawa

Huyu mr chin,si ni yule babu asie kuwa na breki mdomoni,anasifika kuporomosha matusi mbele ya watoto banaa! Huyu chin Nina mashaka nae,tusi,matusi,watu wazimaa hawa.
 
Mgombea Wa Majirani ZETU, Kumbe MSELA Bhana!! Ndio Maana Mrs Haonekani!! ALIONEKANA Mara 2 Tu, Siku Ya KUZINDUA Kampeni Dar Na Kuthibitika Ni MCHONGO Tu, Coz Hata Ktk. Utambulisho Wake Alimsahau!! Hadi Akaambiwa Hoya Mbona Haumtambulishi Mwenza!!?? Na Pili KIJIJNI KWAKE!! Tena Kwa Kuombwa Na Mama Mwenye HESHIMA Kubwa Nchini!! BAADA Ya Hapo, MAMA Aendelea Na Maisha Yake Ya Zamani!! Tehe! Tehe! Tehe!! Vijana Hongereni Kwa Kulishistukia Hilo!!

Shhhh..ni tichaa.
 
Huyu mama ni mwanzo na mwisho? Yaani tungemfahamu siku nyingi Lowassa angeshakuwa rais wa nchi hii siku nyingi? Kujituma kwake kunanivutia sana.
 
attachment.php
 
attachment.php

Sidhani kama Dr Magufuli anaweza kujza nyomi kubwa hivi bila msaada wa Fuso haaaa haaaa.
 
Mgombea Wa Majirani ZETU, Kumbe MSELA Bhana!! Ndio Maana Mrs Haonekani!! ALIONEKANA Mara 2 Tu, Siku Ya KUZINDUA Kampeni Dar Na Kuthibitika Ni MCHONGO Tu, Coz Hata Ktk. Utambulisho Wake Alimsahau!! Hadi Akaambiwa Hoya Mbona Haumtambulishi Mwenza!!?? Na Pili KIJIJNI KWAKE!! Tena Kwa Kuombwa Na Mama Mwenye HESHIMA Kubwa Nchini!! BAADA Ya Hapo, MAMA Aendelea Na Mauisha Yake Ya Zamani!! Tehe! Tehe! Tehe!! Vijana Hongereni Kwa Kulishistukia Hilo!!

Wakati ule wa ruksa wake walikuwa 2. Makomeo inasemekana anao wengi hadi kbbs ndani, mwingine mbz mwisho...uzushi unasema na mwingine tena yupo.
 
Mama Regina Lowassa leo amefanya mkutano wa ndani na akina mama wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea na kuendelea kutoa Elimu ya mpiga kura, Kuwaomba kina mama kuwa makini na maamuzi sahihi ya maamuzi yao maana kura zao tarehe 25 ndio itakuwa imechagua aina ya maisha watayoishi kwa muda wa miaka mitano ijayo.

Kutokana na wingi wa kina Baba waliyojitokeza pamoja na mapokezi yaliyojumuisha wake kwa waume ilipelekea kuandaa mkutano mwingine mkubwa wa nje.

Huyu mama nimetokea kumpenda Bure tu, anakonga moyo wangu sana
 
napendekeza achukue nafasi ilioachwa wazi na Dr Slaa. kwani kawafunika makamanda kama lissu, lema, mdee, msigwa, mnyika nk. chadema sasa ina wenyewe wapya na ndio hawa.

maana hawa makamanda nilio wataja hapa hata wangetaka kuzunguka kufanya kampeni, je, wana uwezo wa kiraslimali? anaye mlipa mpiga zumari ndio huchagua wimbo.

halafu una ambiwa chadema wana mfumo, mke wa mgombea anamfunika hata mgombea mwenza, na viongozi wandamizi, watanzania msidanganyike, jamani ngastukeni!!!
 
Back
Top Bottom