Picha: Mama R. Lowassa akiwa Songea Mjini Leo

Picha: Mama R. Lowassa akiwa Songea Mjini Leo

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Mama Regina Lowassa leo amefanya mkutano wa ndani na akina mama wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea na kuendelea kutoa Elimu ya mpiga kura, Kuwaomba kina mama kuwa makini na maamuzi sahihi ya maamuzi yao maana kura zao tarehe 25 ndio itakuwa imechagua aina ya maisha watayoishi kwa muda wa miaka mitano ijayo.

Kutokana na wingi wa kina Baba waliyojitokeza pamoja na mapokezi yaliyojumuisha wake kwa waume ilipelekea kuandaa mkutano mwingine mkubwa wa nje.
 

Attachments

  • 1444938634773.jpg
    1444938634773.jpg
    65.9 KB · Views: 3,909
  • 1444938661741.jpg
    1444938661741.jpg
    88.4 KB · Views: 7,054
  • 1444938688129.jpg
    1444938688129.jpg
    72 KB · Views: 7,717
  • 1444938701551.jpg
    1444938701551.jpg
    77.3 KB · Views: 3,093
  • 1444938715790.jpg
    1444938715790.jpg
    75 KB · Views: 3,146
  • 1444938730863.jpg
    1444938730863.jpg
    101.6 KB · Views: 3,279
  • 1444938746837.jpg
    1444938746837.jpg
    59.3 KB · Views: 2,861
Haha..huyu mama nae mjanja km mumewe...wakati anaongea anaongea tayaratibu ila anaangalie kila kona ya umati wa watu...
 
61 years lakini utafikiri yuko form 6 Weruweru! I can't believe. Yaani umri wake ni sawa na wa mamamkwe wa Magufuli, ila mke wa Magufuli anaoenekana kachoka kabisa. Watunze wake zenu.
 
Kajichimbia Mbuyuni. Nasikia ni muuzaji mzuri wa visheti na ubuyu kwa wanafunzi wake. Anafundisha darasa la kwanza na la pili.
Duh..... hayo madongo uliyompiga Mrs Push up........................

Ngoja wale Lumumba buku 7 club waamke uone watakavyokushukia kama mwewe anavyovishukia vifaranga vya kuku....................
 
Back
Top Bottom