Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Katika vitu ukawa wanajisahau ni Kutoa Elimu ya kupigia kura maana kuna watu wana hasira ila hawajawahi.kupiga kura
Ccm wanafanya hivyo ila sisi hatutoi Elimu
Magufuli ana mke kweli??
Mke wa mgombea urais kupitia Umoja wa Ukawa, Mama Regina Lowassa leo amefanya mkutano mkubwa mjini iringa..
Mama Regina alisema ''Naomba nichukue nafasi hii kumuombea kura mgombea urais Mh. Edward Ngoyai Lowassa ambae ni Mume wangu, namuombea kura zote za ndio bila kuwasahau Madiwani na Mbunge''
Mama Regina amewakumbusha wananchi kuwai mapema kwenye vituo vya kupigia kura, kuzingatia sheria za uchaguzi na namna ya kukunja karatasi baada ya kupiga kura na wasisahau kwenda na kalamu zao.
Huyu Mama ni shujaa na anajiamini hakika ni mfano kwa wa Mama hapa nchini.Wakina Mama watafaidika sana kupata First Lady mahiri.
mama nimemkubali mikutano yake idadi ya watu ni sawa kabisa na zile za Magufuli! Lowasa tu ndo Level nyingine!