Sijawahi ona picha ya mama Magufuli anatabasam akiwa na mumewe...jamaa litakuwa linarndekeza mfumo dume!
wanabadilika wakiingia mjengoni , unadhani mbatia asingekuwepo mjengoni UKAWA ingekuwepo ? , i believe kuna watu wanajutia hisani zao sasa.Namwomba EL.amwoonee huruma hata viti maalum itamtosha
Hiyo picha ya 1980. Kwa sasa magufuli ni bachela sugu
+ chepukozzzz.Mama lazima akose furaha.
Hiyo picha ya 1980. Kwa sasa magufuli ni bachela sugu
Japokua sio timu magufuli lakini kiasi anajali familia