Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,315
Lol eti mahaba yake kaonyesha kwa baby boy wake kamshika mkono
Baby boy?Mbona mtu mzima hivyo?Nikadhani mdogo wake!!!
Lol eti mahaba yake kaonyesha kwa baby boy wake kamshika mkono
Hiyo picha ya 1980. Kwa sasa magufuli ni bachela sugu
Wew sema kweli, hana mke??? Tobaaaa!!!
Wallah!!! Nijuze[/QUOTE
Na iwe siri yako usimwambie yeyote coz unaweza kung'olewa kucha na meno km ulimboka
Wew sema kweli, hana mke??? Tobaaaa!!!
Wallah!!! Nijuze[/QUOTE
Na iwe siri yako usimwambie yeyote coz unaweza kung'olewa kucha na meno km ulimboka
Mmmh!!!! Mweee!!!
Hahahaaa mkuu hili suala litakuwa na ukweli ndani yake.
Haiwezekani wanandoa tena kwenye ngazi ya kugombea urais kuleta sintofahamu hii.
Sasa hivi ana Mama Jerry
+ chepukozzzz.Mama lazima akose furaha.
Magufuli ni kiongozi bure kabisa,jamii imeshinikiza aambatane na mkewe kwenye kampeni na yeye ametii ingawa mwanzoni alidai sio lazima kuhusisha familia ktk uongozi,inaonyesha akiingia ikulu atapelekeshwa sana na mashinikizo kutoka ccm na makundi mbalimbali katika jamii na atatii.
Kwa kifupi ni mtu wa misifa bure kabisa.
[/TD]
[/TD]Wamenuna haoo familia ya kidikteta, mchaka mchaka alimserema
Ndo yupi huyo? Aliyelambishwa nyumba za serikali?
View attachment 290254Mama kamkimbia mzee baada ya kuonekana kwa babu wa samunge.
swissme
Yes, huyo huyo!!