Kupika Na Urais Kuna Uhusiano Gani?
Kama kiongozi alipaswa kuja na njia ya kuwasaidia hawa wakinamama wapike mahala ambapo hakuna moshi. Baadae wanaonekana wachawi kwa macho mekundu alafu wanauliwa.
Cha ajabu anafurahi maana yake amelizika na hicho wanachofanya.
Tulia dawa ikuingie
go Mr. Presdent go. Kwani shida ni nini kama na lowa anaweza si nayeye apike
Tulia dawa ikuingie
go Mr. Presdent go. Kwani shida ni nini kama na lowa anaweza si nayeye apike
"A vote is like a rifle: its usefulness depends upon the character of the user ,vote for magufuli for better development sustanability and well being of Tanzania peopleKama kiongozi alipaswa kuja na njia ya kuwasaidia hawa wakinamama wapike mahala ambapo hakuna moshi. Baadae wanaonekana wachawi kwa macho mekundu alafu wanauliwa.
Cha ajabu anafurahi maana yake amelizika na hicho wanachofanya.
HAYA NI MADHARA YA KUZUNGUKWA NA WASANII(BONGO MUVI, KIKOSI CHA MATUSI, COMEDY NA BONGO FLEVA)KWA MUDA WOTE WA KAMPENI.
A vote is like a rifle: its usefulness depends upon the character of the user ,vote for magufuli for better development sustanability and well being of Tanzania people
Na lowassa ajaribu kama hata,,,,,,,,,,,,,,,,,
hata kuushika tu hawezi bora magufuli anayeyajua matatzo ya watu