Picha: Magufuli akigonga kikombe ndani ya Loliondo

Picha: Magufuli akigonga kikombe ndani ya Loliondo

Mheshimiwa mtukufu ana matatizo gani, alipitoka hapo hima kwa TB Joshua Nigeria kuombewa
 
Mzee una uhakika ni magufuli huyu? au umeangalia kipara tu? wacha anywe na ningependa kikwete anywe pia labda he will come to his mind

Hata mimi nimepata mashaka baada ya kuona tarehe ya thread kama vile ni siku ya shamrashamra fulani,
 
Jamani hata chai asinywe? Tehe tehe tehe! Hapo bado maandazi tuu au kachapati
 
Nani kaingia archive kufukunyua nyaraka za miaka hiyoooo!
 
Mada yenyewe expired,na hizi mada zenu ndio zinazosababisha serikali ikodoe macho kwenye jf,issue personal hizi unaweka hapa inaelekea hata majiran zako unajua wanakula nini
 
Mada yenyewe expired,na hizi mada zenu ndio zinazosababisha serikali ikodoe macho kwenye jf,issue personal hizi unaweka hapa inaelekea hata majiran zako unajua wanakula nini
Acha woga wewe ukishakuwa public figure hakuna kitu personal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom