Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,995
- 25,338
- Thread starter
- #21
....Kwa hayo mafuriko sio muda tutasikia mikutano ya wabunge majimboni kwao imefutwa kwa muda usiojurikana
.....siasa Mabarabarani
....Kwa hayo mafuriko sio muda tutasikia mikutano ya wabunge majimboni kwao imefutwa kwa muda usiojurikana
.....wale wa kanda ya kati njooni huku mjifunze ukombozi
Mbunge anaruhusiwa kufanya jimboni kwakeMbona wanasema mikutano imezuiwa ?
Ukombozi wa kumkomboa Mbowe na madeni ya NHC na uuzaji ngada pale Bills! Ha ha ha ha wajinga ndio waliwaowale wa kanda ya kati njooni huku mjifunze ukombozi
Hayo mafuriko yamewaingizia kipato cha shilingi ngapi hao waliofurika? Yamewapa ajira wasiokuwa Na ajira? Yamewapa maji wasiokuwa Na maji? Ujinga mtupu