Hapo ni Mtwara Mjini maeneo ya Bima kwa Lyimo pale nyuma ya Exim Bank na maeneo ya chuno kama wapajua
Poleni sana wana Mtwara. Kutokana na nongwa ya gesi,sidhani kama watapewa huduma stahiki( hata salamu za rambirambi za waathirika hawatapewa)!
Utaona kama wanawakomoa hivi ,kisa ni watu kudai haki zao poleni sana ndugu zetu wa Mtwara!
Dah! Poleni sana ndg zanguni, ebu nenda mtaa wa railwa maeneo ya ile karakana ya Mbao ulizia kwa mzee Nayunda ukifka pale nipe taarifa maana mvua kdg tu palikuwa panajaa mimaji balaa. Ebu fanya hivyo ndg, mi nipo mbali huku ktk pilika za kulijenga taifa le2 na pia kupambana na mafisadi.