Waambieni Chadema Watoe Tamko La Kupinga Machinga - Wafanyabiashara Wanaumiaubungo mataa na pale darajan, wameibana sehemu ya kupita watembea kwa miguu, wakat nafas ipo. changamoto kwel!
Wanabodi, kauli ya Mh Rais juu ya kuwapa machinga uhuru na taratibu mzuri wa kufanya biashara zao,sasa wamekuwa na amani kujinafasi maeneo tengefu,hasa nyakati za jioni.
Hapa ni karibu na sheli ya GAPCO jijini Dsm ambapo machinga wamepanga bidhaa zao na wanaendelea kupiga mzigo.
bila shaka hiyo ni k/kooGapco zipo nyingi jijini taja ni Gapco ya eneo gani ili tatizo lifanyiwe kazi
Simachawene naye mpumbavu, anashindwa kumwonya mkuu wake anaenda kuwaonya wanaopokea maagizo? Hebu aache usanii! Hapa Rais akubali kwamba alikurupuka, hayo ndo madhara yake ya agizo lake kutumika vibaya! Aje awaonye sasa machinga wake, maana akina Makonda wameufyata mikia chini ya miguu!!Simbachawene leo Kawaonya Ma RC na Wakurugenzi na Ma DC waliosusa na kuwaacha Wamachinga wakivuruga Mpangilio wa Miji!
Hapa nafikiri ni magomeni usalama karibu na Travetine HotelGapco zipo nyingi jijini taja ni Gapco ya eneo gani ili tatizo lifanyiwe kazi
Anajua na anakumbuka kuwa Mafuru na Dr. Likwilile wanasubiri kupangiwa kazi nyingine kutokana na utendaji wao uliotukuka!Simachawene naye mpumbavu, anashindwa kumwonya mkuu wake anaenda kuwaonya wanaopokea maagizo? Hebu aache usanii! Hapa Rais akubali kwamba alikurupuka, hayo ndo madhara yake ya agizo lake kutumika vibaya! Aje awaonye sasa machinga wake, maana akina Makonda wameufyata mikia chini ya miguu!!
Natamani Machinga wakapange bidhaa mpaka kwenye gate la Ikulu, tena wapange bidhaa moja moja kwa umbali wa nusu mita kutoka bidhaa moja hadi nyengine!!Hapa nafikiri ni magomeni usalama karibu na Travetine Hotel
hii Gapco ya Magomeni... si unaona Traventine Hotel kwa hapo pembeni...Gapco zipo nyingi jijini taja ni Gapco ya eneo gani ili tatizo lifanyiwe kazi