[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Chato na Katoro

HTML:
Mkuu analysis gani tena hapo wakati picha zinajionyesha. Watoto kibao hawapigi kura. Pia vijana kibao ambao kelele nyingi lakini hawapigi kura. Unawaona wazee wangapi kwenye hizo picha? Wazee wengine ndio huwa wanapiga kura, ila wapo wachache sana kwenye picha ambazo nimeziona so far.

Hivi CCM walipoanzisha Chipukizi enzi zilee? walikuwa na lengo gani? Je unataka kupanda miembe ili ule leo?
CDM is targeting today and Tomorrow, think deeply
 
Jana Chiligati alimuita DR Slaa Savimbi! si matusi hayo jamani? sasa hapa nani anatukana?
kama ndiyo hivyo basi Kikwette ni Gaddafi....hawana haya hao ccm!
Kazeni uzi, hvyo vitisho hata kina Mubara walivitoa lkn hatimae wakaaanza!
Kikwete kashindwa kuongoza nchi, mfumuko huu wa bei ni wa ajabu! eti wananchi tukae kimya ndio amani na utulivu! ilhali tunakufa njaa? ni bora kufa ukipigania lishe kuliko kufa kwa njaa.....
 
Ukifanya analytical analysis inakuwa vigumu sana kuelewa CCM walishinda vipi Urais na idadi kubwa ya wabunge only 4months back??? The only conclusion ni Uchakachuaji wa hali ya juu, na kama uchaguzi huru ukifanyika TZ hata kesho CHadema ni RULING PARTY.

Kila la heri Dada Regia, lakini nadhani sasa uongozi mzima wa chadema ukae chini na wanasheria ili kucover all the bases, ili kila matamshi yawe ndani ya sheria, maana JK na serikali wamepigwa na hofu na kitakachofuata ni mabavu ya dola. Ni muhimu sana kwa sasa hivi kuwaelimisha wananchi matumizi mabaya ya serikali, upotevu wa pesa za umma na mambo mengine bila kusogea hata kidogo kwenye gray area yoyote kisheria, sababu hamna haja MAPENZI YA WANANCHI KWA CHADEMA YANAKUWA NATURALLY sababu ya upuuzi wa serikali.

May God Bless Tanzania.

Hii ni kweli kabisa....
 
Jamani mbona hamkufika Ngara au mnafikiri ni sehemu ya Burundi?

ahahahahahahahhaahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa, huko Kabanga, Mabawe, Murgwanza, Rulenge, Murusagamba ni mbali sana mwana next time watakuja , hahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
mkuu analysis gani tena hapo wakati picha zinajionyesha. Watoto kibao hawapigi kura. Pia vijana kibao ambao kelele nyingi lakini hawapigi kura. Unawaona wazee wangapi kwenye hizo picha? Wazee wengine ndio huwa wanapiga kura, ila wapo wachache sana kwenye picha ambazo nimeziona so far.
maneno hayo tuliyasikia sana mbeya mpaka mpesya akadondoka we cheza na cdm tuu kama unaipenda ccm mwambie mwenyekiti mjipange acha kutoa majibu mepesi kwenye masuala magumu mkuu!
 
jana chiligati alimuita dr slaa savimbi! Si matusi hayo jamani? Sasa hapa nani anatukana?
kama ndiyo hivyo basi kikwette ni gaddafi....hawana haya hao ccm!
kazeni uzi, hvyo vitisho hata kina mubara walivitoa lkn hatimae wakaaanza!
Kikwete kashindwa kuongoza nchi, mfumuko huu wa bei ni wa ajabu! Eti wananchi tukae kimya ndio amani na utulivu! Ilhali tunakufa njaa? Ni bora kufa ukipigania lishe kuliko kufa kwa njaa.....
mkuu kwa kumwita hivyo mkwele unaweza kunyongwa hahahahaa unamtukana mkuu wa nchi kilaza wetu!
 
Ukifanya analytical analysis inakuwa vigumu sana kuelewa CCM walishinda vipi Urais na idadi kubwa ya wabunge only 4months back??? The only conclusion ni Uchakachuaji wa hali ya juu, na kama uchaguzi huru ukifanyika TZ hata kesho CHadema ni RULING PARTY.

Kila la heri Dada Regia, lakini nadhani sasa uongozi mzima wa chadema ukae chini na wanasheria ili kucover all the bases, ili kila matamshi yawe ndani ya sheria, maana JK na serikali wamepigwa na hofu na kitakachofuata ni mabavu ya dola. Ni muhimu sana kwa sasa hivi kuwaelimisha wananchi matumizi mabaya ya serikali, upotevu wa pesa za umma na mambo mengine bila kusogea hata kidogo kwenye gray area yoyote kisheria, sababu hamna haja MAPENZI YA WANANCHI KWA CHADEMA YANAKUWA NATURALLY sababu ya upuuzi wa serikali.

May God Bless Tanzania.

Balozi wa Ujerumani alitembelea Moja ya wilaya hapa nchini na haya ni Maneno yake kwa uchache:-
O DON'T BELIEVE TANZANIANS COULD VOTE CCM FOR MORE THAN FORTY YEARS AT THIS STATE OF POVERTY!"
Kwa mwanadiplomasia Maneno hayo ni makali sana; Ingekuwa nchi zingine RAIS angemuita kumuuliza kama hiyo ni Kauli ya Serikali yake au personal comment!!
Lakini kwa kuwa yalikuwa maneno ya ukweli si waziri wa Mambo ya nje wala Rais alihoji kauli yake!!
WHAT DO YOU LEARN FROM IT?
 
Mkuu analysis gani tena hapo wakati picha zinajionyesha. Watoto kibao hawapigi kura. Pia vijana kibao ambao kelele nyingi lakini hawapigi kura. Unawaona wazee wangapi kwenye hizo picha? Wazee wengine ndio huwa wanapiga kura, ila wapo wachache sana kwenye picha ambazo nimeziona so far.
We unaishi dunia gani? 65% ya population ya Tanzania ni vijana na ndiyo wapiga kura wa leo na kesho. Inawezekana hata Oktoba mwaka jana hukupiga kura. Kama ungekuwa umeenda kwenye vituo ungeona kuwa vijana ndiyo walikuwa wengi.
 
Nawapongeza kwa kazi kubwa mnayoifanya!hongereni sana!!
Sote tunawapongeza lakini CHADEMA inapaswa kuacha kupita seheme kama kimbunga. Wanapaswa waache mizizi kwa kufungua matawi wilayani na vijijini na kuweka viongozi imara watakaokijenga chama. Ukweli ni kwamba mapinduzi ya Tanzania hayatakuwa kama ya Libya au Misri. Yatapatikana kwenye sanduku la kura (huru). Hivyo kujenga chama kwenye grassroots ni muhimu sana.
 
hongereni sana mkuu, msiogope vitisho vinavyoletwa kila siku.......Mungu atubariki Tanzania
je ni lini Mbeya? tunawasubiri kwa hamu tuungane pamoja
 
Nimemsikia Chiligati amesema hii slogan ya CDM ya Hakuna kulala mpaka kieleweke, CCM wanaitafsiri kama uchochezi.
 
Lakini siyo hilo tu, nimesoma sehemu mbali mbali hata kibwagizo ch peoples power nacho wanaona kama kusogeza moto kwenye petrol.
 
Juzi pia, nilisikia redio ya sisiem ikijadili maandishi ya kwenye tyre cover ya Mbunge wa Arusha Mjini wakisema nayo ni uchochezi. Kwa kweli watawala wamekuwa na hofu kila kona.
 
:peace:

Kweli Picha za Maandanano ya chadema ni isara tosha kwamba watanzania wamechokana na mafisadi wanataka mabadiliko ya kweli! CCM acheni kupingana na nguvu ya umma yasije yakawakuta ya Misiri shauri yenu. Big up CHADEMA Keep it up!!

:clap2:​
 
Arusha tuna Usongo na maandamano siyo maandano tu ilimradi bali yale ya CHADEMA na si vinginevyo halafu itokee mtu anatupinga. eh bwana! Mungu anajua
 
Back
Top Bottom