PICHA; M4C- OPD, kutoka Polisi Iringa hadi kuitikisa Pwani na kujionea 'maajabu' ya elimu Chalinze

CHADEMA

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
488
2,468
Wananchi wa Kata ya Kibindu, Chalinze, Pwani wakipiga pipooooooz power ya nguvu mkutano uliohutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa Mbowe, Makamu wake Said Issa Mohamed, Peter Msigwa na Halima Mdee leo.


Mkutano_Pela_2[1].jpg


Mkutano_Pela_3[1].jpg


Mkutano_Pela_3[1].jpg

Hapa Mwenyekiti
Mbowe akisalimina na mke wa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Pela, Khadija Ali, katika Kata ya Kibindu jimbo la Chalinze mkoani Pwani, ambako alitembelea kujionea hali makazi ya mwalimu huyo, leo.

Mbowe kusalimiana.jpg





 

Mwenyekiti wa Taifa Mbowe akiwa na viongozi wa kijiji cha Kibindu, akikagua jengo la madarasa mawili la Shule ya Msingi Pela, Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani yenye wanafunzi 246, darasa la kwanza mpaka la sita na walimu wawili, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya Operesheni M4C Pamoja Daima.


View attachment 136201
 

Shule yenye vyumba viwili vya madarasa, wanafunzi 246, darasa la kwanza hadi la sita, walimu wawili.


attachment.php
 
siku hao waswahili wakiamka na ndio mwanzo wa utajiri kwao.
kataa ccm kataa utumwa...
M4C PAMOJA DAIMA
 
Hivi wakati wa ziara ya Katibu Mkuu Kinana ya kukagua maendeleo ya miradi ya maendeleo alikagua miradi ipi? Ama alipata lile neno la 'Mawaziri Mizigo' ikawa imetosha?
 



Jengo la Shule ya Msingi Pela iliyopo Chalinze mkoani Pwani,
lenye vyumba viwili, llinalotumiwa na wanafunzi 246 na walimu wawili ambalo limejengwa mwaka 2006, kama lilivyokutwa jana wakati wa ziara ya M4C- Operesheni Pamoja Daima, Timu ya Mwenyekiti Mbowe.


View attachment 136204



 

Jengo la Shule, vyumba viwili, wanafunzi 246, walimu wawili...darasa la kwanza hadi la sita, Chalinze, Pwani.


attachment.php
 
Waziri mzigo wa elimu Dkt Kawambwa anatoka wilaya ya Bagamoyo ambayo Chalinze ji sehemu ya Bagamoyo.
Raisi na mwenyekiti wa chama cha mizigo anatoka kijiji cha msoga jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo ambako anatoka pia waziri mzigo wa elimu.

Wawili hawa kwa umoja wao au mmoja mmoja wameshindwa kabisa kuona umuhimu wa kuweka mazingira bora ya elimu nchini hadi mwalimu mkuu wa shule ya msingi anaishi katika "kihenge" badala ya kuishi kwenye nyumba.

Nakumbuka kijijini kwetu kuanzia miaka ile ya sabini wakati sisi tukiishi kwenye nyumba za nyasi walimu pekee ndio walikuwa wanaishi kwenye nyumba za bati. Wananchi walikuwa wanajikusuru wanajenga nyumba za matofali na kuziezeka kwa mabati kwa ajili ya walimu, walimu walikuwa wanaheshimiaka sana. Lakini maajabu ya wana Bagamoyo wanawaweka waalimu kwenye mabanda ya mifugo, na raisi na waziri wa elimu wanaishi mitaa ya jirani tu hapo.
 
Back
Top Bottom