tafsiri zingine sio nzuri. tafadhali suala la msiba acha libaki la msiba tu na sio kuingiza mambo mengine ya kufikirika. wewe unafikiria siasa tu.Misiba bhana, ina mambo mengi, huwafanya "marafiki wa sirini" kulazimika kuwa "marafiki wa hadharani"!!!! Ninatafakari tu!!!
tafsiri zingine sio nzuri. tafadhali suala la msiba acha libaki la msiba tu na sio kuingiza mambo mengine ya kufikirika. wewe unafikiria siasa tu.
Rostam ameshawahi kuwa kiongozi mwandamizi ccm tena akiwa mweka hazina kuanzia mkapa mpaka kikwete. be careful
kwenye huo msiba Hata Prof. Lipumba, Mbowe na Dr. Slaa wanaweza kwenda tu. sasa sijui na hapo utasemaje.Labda ungesema tafsiri sio sahihi kwa kuonesha makosa yake! !!!!!!
Mkuu hizo picha unaachaje kuzihusianisha na siasa????!!!