Picha: Lowassa akiwa Segerea, haijawahi kutokea

Picha: Lowassa akiwa Segerea, haijawahi kutokea

....

Nafarijika sana !!!!


attachment.php
 
Acha kuwadhalilisha Watanzania wewe, ina maana kuja kusikiliza mtu anayeomba kazi ya kuwa Rais wa nchi yetu lazima kuletwa na malori? Au unataka kusema ulitaka waletwe na malori au walipwe ndo waje? Watanzania wanajielewa na wanajua wajibu wao na uhuru walionao!
Vp mbona issue ndogo tu lakini unajikakamua kaa Upo kwenye choo cha magunia..!!
 
Hamjisikii aibu.....Siku zinaenda tu mnaemwombea mabaya bado anaishi na anapiga kazi kwenda mbele

Mtakufa Nyie mtamuacha
wewe acha ulofa,hujanielewa nilimaanisha leo lazima achoke maana mikutano minne sehemu tofauti si mchezo
 
Back
Top Bottom