Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,339
- 13,643
ccm hawapendi kuona wala kusikia habari kama hizi....Na hapo hakuna kutukana wala kutukanwa... Mkutano wenye kujali hadhi, utu na haki za binadamu...!!
Mbulu tarehe 3Ocampo four Mbulu lini?
Tanga walitusomba na malori ccm wakatusahau uwanjani mpaka asubuhi
tulia wewe , watu wanachukua nchi kudadeki !Acha kuwadhalilisha Watanzania wewe, ina maana kuja kusikiliza mtu anayeomba kazi ya kuwa Rais wa nchi yetu lazima kuletwa na malori? Au unataka kusema ulitaka waletwe na malori au walipwe ndo waje? Watanzania wanajielewa na wanajua wajibu wao na uhuru walionao!
nikaiangalie kikatio kama kipo nikifute vumbi, ktunzwe tena kisubiri kukata makomeo na kumwaga maulevi Oktoba 25
Saa kumi atakuwa tanganyika parkers live itc
Kama alikuwa anaumwa ilikuwa kabla ya kuingia UKAWA kwani tangu aje huku huo ugonjwa hatuuoni bali ana afya kibao! Angekuwa anaumwa hizo trip alizopiga angekuwa hoi. Lakini mzima kama chuma!! Lowasa anatosha!Hamjisikii aibu.....Siku zinaenda tu mnaemwombea mabaya bado anaishi na anapiga kazi kwenda mbele
Mtakufa Nyie mtamuacha
Mungu abariki kinywa chako kiweze kunena matakatifu na sio -----Leo lazima apoteze network