Picha: Lowassa akiwa Segerea, haijawahi kutokea

Picha: Lowassa akiwa Segerea, haijawahi kutokea

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Asante Dar es Salaam (Tabata).

Hawa wamekatisha shughuli zao ili waje kusikia ujumbe wa mabadiliko. Hawakusombwa na wala hakuna wasanii... Mungu awabariki wapenda mabadiliko wote....
nm.jpg
mn2.jpg
 
Attachments

  • 1443696466171.jpg
    1443696466171.jpg
    87.6 KB · Views: 19,252
  • 1443696478117.jpg
    1443696478117.jpg
    129 KB · Views: 38,263
  • 1443696490447.jpg
    1443696490447.jpg
    74.8 KB · Views: 18,220
  • 1443696502978.jpg
    1443696502978.jpg
    60.2 KB · Views: 17,994
  • 1443696512449.jpg
    1443696512449.jpg
    76.1 KB · Views: 3,274
  • 1443696525819.jpg
    1443696525819.jpg
    132.9 KB · Views: 19,941
  • 1443696537237.jpg
    1443696537237.jpg
    60.9 KB · Views: 18,053
  • 1443696547647.jpg
    1443696547647.jpg
    61.2 KB · Views: 3,108
  • 1443696561006.jpg
    1443696561006.jpg
    65.3 KB · Views: 3,186
  • 1443696575346.jpg
    1443696575346.jpg
    109.2 KB · Views: 4,109
Acha kuwadhalilisha Watanzania wewe, ina maana kuja kusikiliza mtu anayeomba kazi ya kuwa Rais wa nchi yetu lazima kuletwa na malori? Au unataka kusema ulitaka waletwe na malori au walipwe ndo waje? Watanzania wanajielewa na wanajua wajibu wao na uhuru walionao!
 
Mkuu ina Maana wale wanaosombwagwa na Malori na CCM hawajitambui, sio?
 
Acha kuwadhalilisha Watanzania wewe, ina maana kuja kusikiliza mtu anayeomba kazi ya kuwa Rais wa nchi yetu lazima kuletwa na malori? Au unataka kusema ulitaka waletwe na malori au walipwe ndo waje? Watanzania wanajielewa na wanajua wajibu wao na uhuru walionao!

Hili swali lako linawafaa magamba wa Lumumba. Ndio wanajua utaratibu wa kusomba watu
 
Magamba wasipofilisika sijui! we waache wazunguke na fiesta lao la bure. mabadiliko hayaepukiki. Kosa ambalo halisameheki ni kile kiburi chao cha kutunyima katiba mpya.
 
Back
Top Bottom