Picha: Lowassa akiwa Mererani, Simanjiro mkoani Manyara leo

Picha: Lowassa akiwa Mererani, Simanjiro mkoani Manyara leo

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, katika mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara...

NB: Hapa hakuna wasanii wala kusomba watu...
 

Attachments

  • 1443203991740.jpg
    1443203991740.jpg
    65.6 KB · Views: 6,544
  • 1443204011517.jpg
    1443204011517.jpg
    71.3 KB · Views: 5,555
  • 1443204024108.jpg
    1443204024108.jpg
    67 KB · Views: 6,513
  • 1443204039910.jpg
    1443204039910.jpg
    54.5 KB · Views: 5,312
  • 1443204054798.jpg
    1443204054798.jpg
    47.3 KB · Views: 5,153
  • 1443204067008.jpg
    1443204067008.jpg
    56.8 KB · Views: 5,592
  • 1443204081469.jpg
    1443204081469.jpg
    69.1 KB · Views: 4,955
  • 1443204094938.jpg
    1443204094938.jpg
    66.5 KB · Views: 14,713
  • 1443204109452.jpg
    1443204109452.jpg
    46.4 KB · Views: 4,343
Mabadiliko Lowassa ...Lowassa Mabadiliko hadi ikulu ...No way ccm wajiandae kuwa wapinzani.UKAWA VIVA😛eace:
 
Tatizo picha za ukawa zinapigwa kiana fulani, zinakatwa picha, jifunzeni basi hata kupiga picha kama za CCM ama muweke video. Maana hizi picha zinapigwa staili yakuhojika sana.
 
Wengine wamevaa mashati ya kijani mchana, usiku wanaimba 'mabadiliko lowassa' si maneno yangu mgombea 1 akilalamika. Tarehe 25/10 mchague lowassa hata kama unashinda nao,unaimba nyimbo usipitwe mabadiliko ya kweli yanahitaji watu waliofanya UAMUZI WA BUSARA
 
Back
Top Bottom