View attachment 283674 mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kupitiachadema, akiwakiliosha vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi, ukawa, mh. Edward lowassa, akipokea saluti kutoka kwa askari polisi, wakati alipowasili kwa helkopta, kwenye uwanja mdogo wa ndege nguruka kati, jimbo la kigoma kusini, kulikofanyika mkutano wa kampeni za mgombea huyo, leo septemba 4, 2015 ambapo pia alitumia fursa hiyo, kumnadi mgombea wa jimbo hilo kupitia nccr-mageuzi, akiwakilisha ukawa, mh. David kafulila