Kichwa cha habari kiko vizuri, sana hiyo ni technics upande wa pili ndiyo wanApenda sana kusikia hizo habari mbovu, iliwapate mahali pa kubeza, sasa wewe unawapiga cheza
La macho, wakifungua tu hiyo habari wanakutana na mafuriko ya mabadiriko. Mpaka
Wanasikia kichefuchefu, zikiwa habari nzuri za kumpaisha mzee hata hawana muda wa kuangalia. Pamoja makamanda humo ndiyo ubunifu unotakiwa. Nakwambia wengi watakata shauri na kuja tu.