shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Nyota nyota Mkuu...
nasikia dr mihogo kaita waandishi wa habari tena
Hata kama ni nyota, ccm imewakosea nini , kwanini mnaichukia kiasi hiki, km barabara mmejengewa, au mpaka flyover? Basi tutajenga hapo ubungo na tazara , na dawa zitakuwa zinapatikana hsp, hata madawati tutaweka kwenye shule za vijijini, hapo vp!
baada ya uchaguzi hatutaki malalamiko ooh tumeibiwa kura.
Kwa picha hizi za mafuriko ya Lowassa popote aendapo, kaskazini na kusini, mashariki na magharibi, ni dhahiri sasa kuwa vigogo wengi wa CCM hivi sasa watakuwa wanakosa usingizi, kwa kuwa weshajua kuwa kwa hivi sasa hakuna tena mkakati wowote wanaoweza kuufanya wa kumzuia EL asiende Ikulu.duh, kwa picha hizi 'fuli inabidi atupe taulo yaishe
MTUMIENI ujumbe DR. MIOGO
watanzania wamechoka kukalia kinyesi kwa muda wa miaka 54 sasa wanataka mabadiliko na mabadiliko ya kweli ni kumchagua lowana na ukawa! Pipoooooooooooooooooooooooz!mkutano wa mgombea urais wa chadema kupitia ukawa, edward lowassa, katika uwanja wa kwaraha, babati mjini, leo oktoba 2, 2015...
Dunia imeona. Tanzania imeona. Watanzania wanaona.......
Hahahaaaa Pasco leo katoa uzi wa hatari wa kumshauri Mkuu wa kaya kuomba msamaha....
Cha muhimu ni kuibana tume isiibe kura hata moja.
Lowassa mjinga sana anakomaa na kaskazini anadhani wote malofa siyo.atashangaa kitakachompata.
Lowassa mjinga sana anakomaa na kaskazini anadhani wote malofa siyo.atashangaa kitakachompata.
Channel 10 imeonyesha watu kiduchu sana ila ITV ndiyo imeonyesha kawaida.Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia UKAWA, Edward Lowassa, katika Uwanja wa Kwaraha, Babati Mjini, leo Oktoba 2, 2015...
Dunia imeona. Tanzania imeona. Watanzania wanaona.......