Picha: Lissu afunika ifakara

Wajamani CHADEMA mna mpango gani na mimi au mnataka nisuse JF? Mama ngina lete dawa zangu za presha na za kisukari, hawa CDM wameshaanza walah nitazila JF kama hawatapunguza dozi
 
Anawambia alivyopigwa mweleka uchaguzi ; na mwigulu nchemba
 
Wajamani CHADEMA mna mpango gani na mimi au mnataka nisuse JF? Mama ngina lete dawa zangu za presha na za kisukari, hawa CDM wameshaanza walah nitazila JF kama hawatapunguza dozi

Ukizira JF kikopo cha dawa za presha na kisukari vitakuwa havishuki. tunakuomba uendelee kuingia ili tukuze pato la taifa.
 
Back
Top Bottom