Picha lipumba na lowasa

Picha lipumba na lowasa

Wikiliki

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
528
Reaction score
141
Huyu mzee lipumba hapa
 

Attachments

  • lipumba.jpg
    lipumba.jpg
    14.9 KB · Views: 3,737
Siasa haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ila ni maslahi tu yanajaliwa.
 
ahaaaa....kazi nimemaliza...we subiria tu utasikia "uwiiiii.....huko ukawa".
attachment.php
 
Prof umechemka saaaaaana, cjiu madui zetu nyinyiemu wamekupa nini!!!??? i am doughting
 
Niliwaza kama prof hakukubaliana na maamuzi ya ukawa angetoa chama ndani ya ukawa ila amekuwa na agenda binafsi ya siri kwa muda sasa anajitoa chama anakiacha nna wasiasi na Prof kwa asilimia kubwa anataka kuleta mpasuko UKAWA na hii itakuwa kwa maslahi ya CCM. UKAWA bila lipumba bado inawezekana ilimradi chama cha cuf kiafiki kuendelea namapambano kumtoa mkoloni mweusi ccm
Prof lipumba kukikucha tar 25 october utajutia sana maamuzi yako ya hicho ulichokianzisha leo
 
Hili ndio oli la mkono wengine walifikiri goli la mkono ni wizi wa kura
 
Niliwaza kama prof hakukubaliana na maamuzi ya ukawa angetoa chama ndani ya ukawa ila amekuwa na agenda binafsi ya siri kwa muda sasa anajitoa chama anakiacha nna wasiasi na Prof kwa asilimia kubwa anataka kuleta mpasuko UKAWA na hii itakuwa kwa maslahi ya CCM. UKAWA bila lipumba bado inawezekana ilimradi chama cha cuf kiafiki kuendelea namapambano kumtoa mkoloni mweusi ccm
Prof lipumba kukikucha tar 25 october utajutia sana maamuzi yako ya hicho ulichokianzisha leo



Kuna Sindano Nyingi Tu Zaidi Zinakuja Na Hizi Mbili Za Dr. Slaa Na Prof. Lipumba Ni Sehemu Mojawapo Ya Hizo Sindano. Tuvumiliane Tu Jamani Na Mtatusamehe ILA Ukawa Mmeingia Wenyewe Choo Cha ME / KE. Kwa Wanaojua Vizuri Political Science Tayari UKAWA Imeshameguka Vipande Vipande Na Sasa Kuna Bonge La FUKUTO Ila Wananchi Tumepumbazwa Na Maneno Matamu Ya Mbowe. Sijaona Mwaka Ambao CCM Itashinda Ushindi Mnono Na Kiuwepesi Kama Uchaguzi Wa Mwaka Huu 2015 Hapo October 25. Naifafanisha UKAWA Na Klabu Ya FC Barcelona Ambapo Dr. Slaa Namfananisha Na Xavi Hernandez Huku Prof. Lipumba Nikimfananisha Na Andreas Iniesta Ambapo Hata Kama Klabu Hiyo Itakuwa Na Mchezaji Mahiri Lowassa a.k.a Messi Bado Bila Hao Wachezaji Wawili Wa Viungo FC Barcelona Inakuwa Haijakamilika Na Inapwaya Na Huwa Inafungwa Pia.
 
Nakushukuru saaaaanaaa Kirusoo kuuliza swali ambalo mara nyingi najiuliza.Ulishiriki kumkaribisha ktk umoja wenu,ukamkumbatia,ukaonge. Leo unakuja mele ya watz unachoongea wala hakiingii akilin kwa mtu mwenye akili timamu.Acheni kudhalilisha taaluma zetu tafadhali.Tunawajengea nn watoto wetu? ukimsikiliza dr bana shidaaa,ukimsikiliza kitila ndio blaaa kbsaa ,ukija kwa mtaalamu wa uchumiii duuuuuuu unaumwa kbsa.
 
Wanasiasa ni Binadamu na Binadamu hukosea. Pr.Lipumba amekiri kukosea kukaribisha Mwizi kuwa Mgombea na kuonesha majuto ya Nafsi kwa Usaliti aliofanya kwa Wapenda mabadiliko Kaamua yeye mwenyewe kujihukumu kwa kujiuzulu tatizo liko wapi? Hata Lowassa alipogundua Wizi wake wa Richmond umestukiwa na Kina Mbowe na Slaa wamemshikia Bango nae alijiuzulu 2008 kujutia Wizi wake.Slaa nae Kaamua kufanya Toba kwa Mungu wake kwa kosa la kushiriki Mchakato wa awali wa kukaribisha Mwizi Chamani. Unahitajika kuwa na Tabia za Kimbowe Mbowe ndo usione Aibu kwa kukaribisha Mwizi sio kuwa Mwanachama tu bali kuwa Ndo Mtu bora zaidi wa kugombea Cheo cha Juu zaidi kinachohitaji Mtu mwadilifu zaid,
 
Back
Top Bottom