Picha: Legend anawasabahi

Aliishia kucheka "ujana ujana,sio unaelewa"

Sema kusema ukweli nilishindwa kujizuia(ilibidi nimzingue nilipoona ni mtu wa story),na nahisi alijua kuwa namjua.
kwasababu kuna watu kusema ukweli hautegemei kukutana nao kabisa.

hahaha
basi ana moyo mgumu sana, hivi ile mambo ilikuaje ikavuja ? ni yeye alivujisha au
 
hahaha
basi ana moyo mgumu sana, hivi ile mambo ilikuaje ikavuja ? ni yeye alivujisha au
Hamna sikujadili naye sana kuhusu ile kitu nilimwambia nakujua mkuu(
Akaleta zile kwamba " wewe ni kijana sishangai..ni ujana tu...."

sikutaka kumkizia kwasababu tulikutana kwasababu ya ishu ya biashara ya simu.

Nilimwambia sikutegemea kama nitakuja kukutana naye,akawa anacheka tu.Nakumbuka ilikuwa 2013.
 
ila msela kaacha legacy nchi hii, ile video yake ipo duniani kote aise mpaka wakenya wanadai ni yao😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…