Nakumbuka kipindi ile video yake inatoka ilikuwa kama kwenye 2009/10 hivi yakaibuka na yale kina Nsia Swai na yule mwenzake waliokuwa SAUTI na mapicha yao ya michupi
Sema kusema ukweli nilishindwa kujizuia(ilibidi nimzingue nilipoona ni mtu wa story),na nahisi alijua kuwa namjua.
kwasababu kuna watu kusema ukweli hautegemei kukutana nao kabisa.