Picha la Kutisha: Huyu ndo Netanyahu?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,187
Reaction score
24,579
Huyu ndo bibi Netanyahu waziri mkuu mpenda vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel?

Mbona kanywea hivi?Mbona kawa hivi hatujamzoea hivi?[emoji33][emoji33][emoji1313][emoji1313]

Miongoni mwa watu wanaokaribia kufa vibaya ni huyu mzee[emoji1313][emoji1313]

Mbona kawa hivi kwani imekuaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa sasa hivi anaishi shimoni kama panya. Hali, haogi wala halali. Kila anapokaa anahisi Ayatollah atamuangushia kitu kizito kichwani kwake. Hata ingekuwa wewe ungeisha na kuzeeka kwa wiki moja tu mkuu.

Hapo vita ina week 1 tu. Sasa ikifika mwezi, miezi, mwaka, miaka kama ile ya Ukraine si ndo tutamkuta amejifia ndani peke yake. Anashindwa ukakamavu hata na Zelenks wa Ukraine japo husahau kuchana nywele.
 
Umeanza kumsikia lini?
 
Wiki tu kazeeka zaidi,Yuko rafu..halali pazuri
 
[emoji23]
 
Aisee kachakaa vibaya mno
 
Anakunywa zake chai kwenye handaki
Sio shida zake
 

Attachments

  • IMG-20250620-WA0098(1).jpg
    104.7 KB · Views: 17
  • IMG-20250620-WA0098(1).jpg
    104.7 KB · Views: 16
Umeweka avatar ya ayatollah,halafu unajifanya neta kapata tatizo gani,
 
I like his boldness. Ameenda mpaka eneo hatarishi , kweli huyu mwamba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…