Picha: kweli Chadema wakiamua wanaweza

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,501
2,000
Kwanini unaihusisha Chadema kama taasisi kwa issue inayohusisha kikundi fulani cha watu walioamua kufanya hayo kwa utashi wao?

Japo siku hizi kumezuka kamchezo cha wengi kufuata zaidi watu badala ya taasisi na wakati mwingine wanaenda mbali zaidi mpaka kujigeuza wasemaji wao ndio maana na wewe mleta mada umeingia mkumbo huo.
John mpambalu,hilda newton!
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,501
2,000
Tundu Lissu makamu mwenyekiti wa CHADEMA pia rasmi ameingia kwenye kampeni kumpigia debe HOSEAH wakati yeye ni mmoja wapo aliyetuaminisha pale mwembe yanga kuwa hoseah ni fisadi!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom