Tukiidhibiti vizuri Kanda ya ziwa Rais wa Ukawa atashinda saa nne asubuhi.Kiidadi tuna wapiga kura wengi huko kuliko kanda yoyote katika nchi hii.
Waambie vijana salama yao ni kupiga kura kwa wingi na siyo kushabikia tu mikutano bali silaha kubwa waliyo nayo ni kupiga kura siku ya uchaguzi na kulinda kura.
Magamba yalivyo na kiwewe tutasikia tena miswada miwili kwa hatj ya dhalura ...thibiti wanaharakati (Alphonse) na tigi tigi operation. Kwa wingi wao bungeni utasikia speaker akiwahoji ....wanaoafiki tuseme ndio....wote watasema ndiooooooooooo...