PICHA: Kumbe kituo cha polisi hufungwa?

PICHA: Kumbe kituo cha polisi hufungwa?

Magereza vipi unatwanga tu.mie nishakumbwaga na sokombingo la kurestisha mtu in peace na kisimu changu baada ya kupiga picha benki kwa nje askari waliokuwa kwenye kibanda wanakunywa chai vikombe bakuli vijiko meza stuli viti zilikuwa zinagongana kwa kukimbia kuniwahi nisilaze nilitiwa nguvuni na hayo majibaba bahati nzuri nilipenyeza rupia nikapona.

Kwa kukuongezea tu ni kuwa sehemu nyingne kama mahakama,hotel bank na viwanja va ndege huruhusiwi kupiga picha.tujifunze kutii bila SHURUTI
 
Vipi kuhusu wizara ya ulinzi...........?........napo siwezi piga picha........?......
Mmmmh! wapo jirani utagombewa kama mpira wa kona halafu utaenda kufichwa kwenye yale maukuta pale ngome
ukitoka uko mikono itakuwa minene ghafla.
 
Mmmmh! wapo jirani utagombewa kama mpira wa kona halafu utaenda kufichwa kwenye yale maukuta pale ngome
ukitoka uko mikono itakuwa minene ghafla.

Basi sisi bado sana........labda hatujiamini........
Hii picha niliipiga mwenyewe na ukiangalia chini kabisa utaona nywele zangu........yaani hapa kama ni kuchezea sharubu za simba.......basi nilizisuka kabisa na hakuna aliyeniuliza.......isitoshe kulikua hakuna mlinzi nje hata mmoja..........

1437510608111.jpg
 
Bila shaka kwa bibi wenzetu ulinzi ni sayansi na teknolojia(digital)budget zinaruhusu huku bado sana budget zetu finyu. Ni unaa tu kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom