muwe mnaangalia na sehemu za kupiga picha. ni kosa kubwa sana kupiga picha sehemu nyeti kama kituo cha polisi msije mkajiweka matatani bure
Wadau hata siku ya pili mapema sikukuta kipo wazi, ila nilikuta (methali isemayo; "ASKARI KASIMAMA MLANGONI..."
muwe mnaangalia na sehemu za kupiga picha. ni kosa kubwa sana kupiga picha sehemu nyeti kama kituo cha polisi msije mkajiweka matatani bure
muwe mnaangalia na sehemu za kupiga picha. ni kosa kubwa sana kupiga picha sehemu nyeti kama kituo cha polisi msije mkajiweka matatani bure
Kina Unyeti gani...? Konstebo00😀
Acha kututisha tunapiga picha popote..ila ndugu zangu nlisahau kambi za jeshi hapana msijaribu