Bukanga
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 2,857
- 1,936
Kwa wale psycophant wa CCM mliodhani Mh. Rais kashamaliza kazi na kwamba wabunge wa upinzani hawana ufuasi na ushawishi kwa wananchi mnapaswa kujifikiria upya...
Kuelekea mikutano mikubwa ya CHADEMA itakayorindima mkoa kwa mkoa wabunge wa chama hiki kikubwa cha upinzani wameshaanza kutengeneza mapito na kuwaandaa wananchi kuwapokea viongozi wa juu wa chama...
Kama mnavyojua ziara hii inachagizwa na kitendo cha wabunge kufukuzwa kwa kosa la kupinga makatazo yenye mkono wa serikali kuu kukatisha minakasha ya bunge kuoneshwa moja kwa moja, ubabe wa dhairi wa uongozi wa bunge, kupanda kwa gharama za maisha ikiwemo bidhaa muhimu kwa wananchi wa kawaida, kufukuzwa kinyama kwa wanafunzi wa UDOM n.k