Picha:kibao kata kwenye birthday ya halima kimwana

hiki ni kibao kata hiki.. na huyo jamaa mwenye nguo nyeupe vipii au ndo ndugu antisalum
 
Hawa nafuu kuna moja ilikuwa ya kicheni pati walikuwa wanavua nguo kabisaa,ndio maana wameitwa Hawa
 
Mungu tusaidie....huu ni ushetani..wengi wao hapo ni machangudoa..hawana waume...hawana kazi..kazi zao ni mauno na kuiba waume za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…