Picha:Kazi ngumu kabisa Duniani.

Picha:Kazi ngumu kabisa Duniani.

Ugumu wa hiyo kazi ni huko majuu ambapo kweli wanaingia kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wao.Huku Afrika ni kinyume na ndo maana hawataki kuachia madaraka pale wanaposhindwa
 
Si anajifanya kutaka kuitawala dunia lazima yamkuta
Rais wa Dunia.

Ugumu wa hiyo kazi ni huko majuu ambapo kweli wanaingia kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wao.Huku Afrika ni kinyume na ndo maana hawataki kuachia madaraka pale wanaposhindwa

Mkuu inaonyesha unaongea kwa hisia za uchungu na hasira.
 
Rais wa Dunia.



Mkuu inaonyesha unaongea kwa hisia za uchungu na hasira.

Sina hakika,lakini wote ni mashuhuda wa namna watawala wa Afrika wanavyotumia nguvu nyingi kusalia madarakani.Ndo maana hata mimi naona ugumu wa hii kazi ni kwa wenzetu lakini siyo Afrika.Kwa Afrika ni kazi nzuri sana,ingekuwa ni kazi ngumu Mugabe angekuwa ashaondoka madarakani siku nyingi
 
Weka picha ya mkapa before and aftr yule jamaa kidogo apasuke,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom