Picha: Kanda za Juu Kusini endeleeni kushabikia mbio za mabasi ni raha sana

roadmaster

JF-Expert Member
Mar 21, 2023
1,484
2,573
Nilisha andika na kuandika !! Kweli kama Kuna watu washamba kwenye mabasi basi ni huku nyanda za juu kusini!! Kwa kifupi hawajielewi!!!
Nawasihi endeleeni kutukuta mbio za mabasi
JamiiForums-266579145.jpg
JamiiForums-989352049.jpg
 
Jamii ibadilike,abiria tupaze sauti dhidi ya ukatili wa madereva
Madereva wengine washakufa kimtazamo wanatafitatu watu wakufa nao kimwili
 
Hii ajali sijaona abiria wakishangaa moto kwenye hizo bus na sijapata idadi ya majeruhi hapo bado sijapata majibu sahihi ya kilichotokea hapo ingawaje picha zinaongea..
 
Jamii ibadilike,abiria tupaze sauti dhidi ya ukatili wa madereva
Madereva wengine washakufa kimtazamo wanatafitatu watu wakufa nao kimwili
Ukipanda hizo bus ukimwambia dereva punguza mwendo abiria wanakuona mshamba ndio kwanza umevamia bus lao nilipanda Sauli nilipanda Saul nilipofika daslm nilikua naona kama bado nipo kwenye bus kwa masaa kadhaa wahuni wanaamsha hiyo daraja mbili au Kitonga wanashuka kama hakuna Mlima..
 
Kiukweli ni ushamba na upumbavu sana. Ndio maana kuna makapuni hayana bus kwenye hii njia.
Njia ya Dodoma Mbeya ma bus yako mwendo wakawaida sana
 
Back
Top Bottom