The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Saguda ana roho mbaya sana kwa wapinzani,akiambiwa akazuie maandamano ya wapinzani yeye anaua kabisa.avatar yake tu inaonesha alivyo mtata,haijafahamika mara moja kama ni greenguard,komando yosso,fanyafujo uone ama uwt.ila tu inafahamika hapendi kabisa vyama pinzani.