Picha: je ni nani atakivaa kama mwalimu?

Picha: je ni nani atakivaa kama mwalimu?

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,575
Reaction score
8,329
Je ni yupi angalau aliweza kukivaa na kutembea hata hatua 1 baada ya mwalimu? Na kwa sasa ni yupi atakivaa kama mwalimu? ImageUploadedByJamiiForums1432747167.232645.jpg
 
Bora hata Mkapa katumbukiza na Mwili, huyo wa tatu ndo kabeba kabisaaaa
 
Hatujawahi tena kupata dikteta kama mwalimu so upo sahihi
Yeah, nilipenda sana walipokuwa wanaelezea 'Udikteta' wa baba wa taifa la Singapore wengi hawakumuelewa mwanzoni lakini mwishoni ndiye aliigeuza nchi masikini kuwa nchi tajiri duniani.
Kwa hakika kama Mwalimu angelipata warithi kama wa rais wa Singapore leo tungelikuwa mbali sana!
Haka kapicha kwa jinsi kalivyo ni wazi kama rais wetu wa tano atatoka ccm basi atalazimika kukikata hicho kiatu vipande kumi ili abebe kakipande kamoja kamoja na ndipo ataweza kukalift! ...assume aje EL au Kigwa ....

 
Back
Top Bottom