Mwandishi wa Gezeti la Tanzania Daima jana alipigwa na polisi alipokuwa kazini katika mahakama mjini Iringa alipotaka kumpiga picha huyu mtu alipoletwa mahakamani kusomewa mashtaka ya........ Umempata sasa?

huyo siyo askari ,ni mamluki tu ,polisi wanataka kufichwa ukweli.kkwa sababu walikuwa wanatekeleza kazi ya JK ya polisi kusaidia ccm na Kamuhanda alikuwa anatekeleza maagizo ya JK
Mwandishi wa Gezeti la Tanzania Daima jana alipigwa na polisi alipokuwa kazini katika mahakama mjini Iringa alipotaka kumpiga picha huyu mtu alipoletwa mahakamani kusomewa mashtaka ya........ Umempata sasa?
Hizi ajira nyingine bana, unatekeleza maagizo ya wakubwa zako kisha ukipatikana na hatia wakubwa wanaingia mitini peke yako unabeba hukumu. Kwa nini asijenge utetezi kwamba aliagizwa na mkuu wake kuua? Woga mwingine bana hata haiingii akilini mwangu.