PICHA: Je, DC bora ni huyu?

Unaelewa maana ya muungano?
Hayo manufaa kwani ni ya wazanzibari?

Ubaguzi ni ujinga
Muungano Gani ambao mtanganyika haruhusiwi kugombea nafasi yeyote Zanzibar lakini mzanzibari anagombea Tanganyika.Ningekuwa karibu na wewe ningekuzaba makofi kabisa Kwa jibu lako la kijinga namna hiyo
 
Acha ujinga wako hapa wewe. Tutaulinda Muungano wetu kwa Wivu Mkubwa sana. Muungano utadumu Milele
 
Unaelewa maana ya muungano?
Hayo manufaa kwani ni ya wazanzibari?

Ubaguzi ni ujinga
Muungano una maswala yake makhususi masuala ya Serikali za Mitaa sio suala la Muungano.
Huyu gasho mla urojo kuwa Mkuu wa Wilaya ni kwenda kinyume na Masuala ya Muungano.
Haya Mambo yameletwa na huyu Mama
 
Raia anaweza kuteu mtu yoyote kutoka Upande wowote wa Muungano (Katiba)
 
DC siyo jambo la muungano.

Hao ni matapeli tu
Hii Akaunti iliyoandika huu upumbavu ni ya Shaka Mwenyewe.. kuna akaunti zaidi ya tano ikiwemo ya Mwashambwa, Choice Venerable.nk..
 
Ndio Shaka ni DC BORA sanan
 
Naunga mkono hoja.
Hivi amesha acha ile tabia alipokuwa UVCCM ya kwenda Mombasa mapumzikoni kila apatapo nafasi?
Ila dunia hii! Kweli ina mambo. Haya ngoja tuache kila mtu na mali zake atumie apemdavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…