Picha inatisha: Mwizi wa Mafuta ya transifoma

kijana acha mzaha mimi nimeuliza kwa nia njema ili nielewe siunajua visimu vyetu vya toch?
Hiyo ngoma hapo inaitwa 6 face siyo three face tena, shoti yake unakatika katika viungo vyote vya mwili!

Huyo wakati wa kumtoa hapo atakuwa ananukia harufu flani ya nyama mbuzi choma
 
Hiyo ngoma hapo inaitwa 6 face siyo three face tena, shoti yake unakatika katika viungo vyote vya mwili!

Huyo wakati wa kumtoa hapo atakuwa ananukia harufu flani ya nyama mbuzi choma
hyo harufu ya mbuzi atakua ndafu nn
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…