AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,666
- 2,841
tazama kwa umakini picha hii,kisha tiririka umeelewa nini
😀😀😀😀Mzee Gharib Bilal amekalia kiti kinacho fanana na Beef Pizza yenye chiz nyingi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
mhh,inawezekanaMzee wa msoga anasimulia kilimo chake cha mapapai
Kumalizia yote tumuulize Othman Michuzi aliyeipiga atueleze kama Vasco alikuwa anawafunda hao akina mama.mfumo dume wanawake wamekaa chini wanaume wamekaa vitini.
Wanaume wa Dar bhanaMzee Gharib Bilal amekalia kiti kinacho fanana na Beef Pizza yenye chiz nyingi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee Gharib Bilal amekalia kiti kinacho fanana na Beef Pizza yenye chiz nyingi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hivi mwanaume kukaa kwenye kiti na mwanamke kukaa kwenye zulia la godoro ni mfumo dume? Au mwanamke kujisaidia akiwa amechuchumaa na mwanaume akiwa amesimama ni mfumo dume? Africa inahitaji kutawaliwa tenamfumo dume wanawake wamekaa chini wanaume wamekaa vitini.