Picha iliyovunja rekodi kwenye miaka 50 ya Uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha iliyovunja rekodi kwenye miaka 50 ya Uhuru

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bitabo, Dec 29, 2011.

 1. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  bembea_1.jpg Mzee wa Kaya na Mama wanabembea Jamaica. Kwenye picha za kuvutia za miaka 50 ya uhuru, msiisahau Kipindi hiki nchi ilikuwa kwenye ukame wa ajabu
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,760
  Likes Received: 83,063
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mimi napita tu!!!
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa wapi hiyo?
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,336
  Trophy Points: 280
  Hilo lichuma linge katika ingekuwaje?
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hahahaha rais alienda kubembea hii kali
   
 7. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Alikuwa Brazil
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mbona katoka bomba tu kama vile wako kwenye honeymoon vile..
   
 9. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ni futi ngapi kutoka usawa wa aridhi?
   
 10. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Picha siyo ngeni, yalisemwa mengi ukumbini Jf, nakumbuka, ngoja nipite tu!!! Lakini inaweza kuwa picha ya miaka 50 iliyotia fora kwa???????
   
 11. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  baba ritz anakula bata jamaica akiwa na waziri wa utalii, manake alipaswa kuwa na rais mwenzie lakini akamchomolea, jamaa akang'ang'ania kubembea, akaambiwa basi atafatana na waziri.
   
 12. A

  Apostolos Member

  #12
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mnasema UKIMIWI ni janga la kitaifa? Rais wa aina hii ni zaidi ya janga.
   
 13. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  ile ya 50 cent je?, ya Christiano Ronaldo?,ya Usain Bolt?
   
 14. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  lazima tujivunie matunda ya safari za raisi wetu nje ya nchi...
   
Loading...