Picha iliyonisikitisha sana weekend hii!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
1456581341414.jpg
 
Hiyo hata mie lakin saa ingine wanawake muwe na heshima kwa wanaume zenu
mh,mkuu umefika mbali,kama kapigwa na mumewe ambaye karudi usiku, kalewa na kufika tu kampiga,halafu bidada kwa uchungu na nidhamu kwa mumewe akupenda kujirudishia kaamua alie.
 
Baba kakimbia, mama maisha magumu hajui atamlea vipi mtoto analia ila mwanae anamfuta machozi. Story of my live
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom