Picha hizi zinakukumbushia wapi??????????

mzee wa kiraracha kabakia nywele tu, hahahaaah uzee umekula hadi ufahamu
 
sijui hata wakazi wa Mbinga wanampendea nini huyu jamaa

 
huyu dem mkali! ni nani?

hahahaa huyo nafikiri ni mmoja wa wajumbe wa halmashauri kuu wa ccm, hahaaah ila nijuacho for sure hao ni wanaccm wenye kadi za uanachama, hahaah Komba azeeki, si unajua mngoni tena
 
Mkuu umenikumbusha mengi sanaaaaaaaa! Thanks a lot
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…