Hebu angalia hii wanaua nyoka!
nmekuelewa sana mkuu..... Nafkiri hujanisoma vizr pale mwanzo nilivyoanza na hii thread.
Kitendo walichokifanya sio cha kimaadili ili kudhibit hii hali yafuatayo yangefanyika:
.. Adhabu kali ingetolewa kwa wahusika kuna adhabu nyingi sana za kijeshi.
.. Hapakuwa na ulazima saana wa kuwarusha kwenye mtandao badala yake huyu raia aliyewapiga picha angewashtua tu na kuwaonya.
.kitendo cha kuwafukuza hyo ni adhabu kubwa sana hailingani na kosa.
Tatizo letu tunayakomalia mambo ambayo hayana madhara kwa taifa ila yeynye madhara tunayapuzia.
Suala la mapenz huo ni udhaifu ambao hutokea kwa kila mtu kama ambavyo yaliwatokea akina Mzee wa mstuni komba, Machemli, Kapuya na wengneo.
Kuna makosa mengi ambayo tunatakiwa kuyakazia kama biashara za madawa ya kulevya, ujambazi, ubambikiaji kesi n.k
Sio picha tu waungwana kuna shida kubwa mimi nadhani kati ya jeshi la polisi na baadhi/sehemu ya wananchi! !!
Inapotokea ndugu zetu polisi wanapatwa madhila unaweza kuona watu wanafurahi, kiasi kuomba "wangekufa wote" na kama hayo, hii sii ishara nzuri hata kidogo, yawezekana tunaona moshi tu ila moto bado umejificha.
Ni wakati sasa pande zote kujiangalia upya! !
nmekuelewa sana mkuu..... Nafkiri hujanisoma vizr pale mwanzo nilivyoanza na hii thread.
Kitendo walichokifanya sio cha kimaadili ili kudhibit hii hali yafuatayo yangefanyika:
.. Adhabu kali ingetolewa kwa wahusika kuna adhabu nyingi sana za kijeshi.
.. Hapakuwa na ulazima saana wa kuwarusha kwenye mtandao badala yake huyu raia aliyewapiga picha angewashtua tu na kuwaonya.
.kitendo cha kuwafukuza hyo ni adhabu kubwa sana hailingani na kosa.
Tatizo letu tunayakomalia mambo ambayo hayana madhara kwa taifa ila yeynye madhara tunayapuzia.
Suala la mapenz huo ni udhaifu ambao hutokea kwa kila mtu kama ambavyo yaliwatokea akina Mzee wa mstuni komba, Machemli, Kapuya na wengneo.
Kuna makosa mengi ambayo tunatakiwa kuyakazia kama biashara za madawa ya kulevya, ujambazi, ubambikiaji kesi n.k
Umehack akaunti za watu kule facebook na huu uzushi wako umeona hujafanikiwa ukaamua kuhamia JF. Ila kumbuka huku ni kwa great thinkers sidhani kama utapata mtu wa kumtapeli..
Note:wakuu kaeni chonjo na matangazo ya hivi
Nimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.
Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.
Sijaelewa utetezi wako au hujui kuwa picha nacho ni kithibitisha habari makini? na kwa nini uzembee katika kazi yako? siungi mkono hizo excuse!Askari amewajibishwa na mwajiri wake (jeshi la polisi) na hao wabunge sijui waheshimiwa watawajibishwa na mwajiri wao(mwananchi -kwa kura) mkiwachagua tena huo utakuwa utaahira wenu!
Ndio polisi wetu hao hao anaowatetea mtoa mada!
mleta mada anachojaribu kusema ana manisha kiongozi na mtu wa chini wakifanya makosa wote waadabishwe sawa... kunguni wa ulaya
Soldier mbona wayafukuzwa wengi km picha zao zikiwekwa hapa?Hao unaowatetea walishafuzu pale CCP wanajua kila kitu tatizo lao walishabweteka wanajifanyia wanavyotaka wenyewe hata kama sheria inawakataza kufanya hivyo,Mwangosi walimuua kwa uzembe kama huu na aliyefanya analindwa sasa wamezoea mpaka wanajifanyia vitendo ambavyo havisitahili,walichopata ni haki yao ili iwe fundisho kwa wengine.
Mkuu hayo ni matokeo ya kuporomoka kwa maadili ya kazi kuanzia kwa viongozi wa juu na sasa watendaji wa chini wanamalizia tu ila ndio hivyo hakuna haki wadogo wanasulubiwa ili kuonesha utendaji lakini wakubwa kimyakimya.Unakumbuka mkubwa fulani aliyezusha CUF wameingiza majambia alishawahi kukumbwa na skendo ya kuzaa na dada wa kazi kwani iliishia wapi? Hapo ndio ujue maadili yakiporomoka na hadhi inashuka.
Hao polisi baadhi yao si watu ndiyo maana wakikutana JWTZ lazima moto uwake kwa njia hii au nyingine tabia yao ya kubambikizia watu kesi kupiga watu kuua watu kwa visingizio mbalimbali,sasa hivi hili jeshi limekuwa si kulinda raia na mali zao bali ni la Kupiga watu tu.mimi hata siwaonei huruma maana wao hawana huruma wakikuamlia.