Hapo ni kama mahakama itafutilia mbali mpango wa CCM kutaka katiba mpya wanayotaka wao na si wananchi wanayotaka. Ila sidhani kama ni CDM. Wao wanawaelewesha wananchi kinachoendelea ili siku ya siku wajue hali ya maisha yao inategemea sana katiba ya nchi.
Inaonesha chama chenye mrengo wa utumwa wa watu weupe, hata miili yao kwenye picha inaashiria hivyo,"white supremacists" kikiota kuwanyonga na kuwadhulumu chama cha kizalendo cha wanyonge walio wengi kwa matakwa tu ya mabwana zao Ku Klux Klan (the Hooded Order).